Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Wacha vijana wafurahie maishaKumekuwepo kwa social media platforms na Apps za kueneza ngono hasa kwa vijana Badoo, nairobiraha, insta, Grindr je Kuna jitihada zote za kupunguza Maambukiz kwa vijana.
Maana vijana wanaloweka bila kinga. Na Kampeni za Kujikinga na UKIMWI zimesahaulika kabisa. Tunaandaa taifa la waathirika miaka 10 ijayo