MLIMAWANYOKA
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 631
- 2,247
Duuh pole sana mkuu... Ila i hope yataisha tu. Nkajua vitabu na link ulizopewa hapo juu zimekuimarisha sanaBado niko mkuu hali iko vile vile ukiona nimebadili jina la Maiti kuwa jina jingine zuri basi ujue nimepona
Mshukuru sana Mungu hata umejigundua una matatizo hayo. Pia mshukuru sana upo hai, kuna watu wanapitia mambo mazito sana ukihadithiwa unaweza kutafuta namna ya kumtoroka anaekuhadithia kwa jinsi mambo yanavyotisha. Umewahi kuonana na daktari?adamu anayeishi kama mimi kweli?
Hatua nzuri uliyonayo ni kwamba umeshagundua tatizo basi unayo nafasi nzuri ya kutatua
Kubadili jina ni hatua moja kubwa sana umepiga bro.
Hongera sana, jana niliona uzi wako ukitoa taarifa ya maendeleo yako. Vyema sana.
JERUSALEMA.