" Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

" Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

Nashauri wizara ya afya isisitize uwepo wa disclaimer kwenye soda kwamba "matumizi ya soda yaliyokithiri ni hatari kwa afya yako"
Ni mpaka kuwe na uthibitisho wa kisayansi. Ubaya wa soda uko kisayansi mwitu zaidi.
 
Back
Top Bottom