" Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

" Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

Hata mim jana nimeuziwa soda buku badala ya mia 7 nilipomaliza kunywa na kulipa naambiwa soda buku,weeee,niliwaka ile mbaya mpaka chenji ikarudi,sipendagi ujinga mimi
 
Back
Top Bottom