Michael mbano JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 820 Reaction score 570 Apr 19, 2022 #21 Bwge lenye akili said: Hata kama Soda zimepanda bei hii kauli sio nzuri kabisa kwa wateja. Yaani unajibiwa kibabe kwamba kama hutaki kunywa kula kona . Dah... Click to expand... Mwachiye tembea
Bwge lenye akili said: Hata kama Soda zimepanda bei hii kauli sio nzuri kabisa kwa wateja. Yaani unajibiwa kibabe kwamba kama hutaki kunywa kula kona . Dah... Click to expand... Mwachiye tembea
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Apr 19, 2022 #22 Kweli tunawaambia hivyo hivyo, sasa tufanye je
M Montserrat JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 10,938 Reaction score 14,745 Apr 19, 2022 #23 Mzingo said: Ni mpaka kuwe na uthibitisho wa kisayansi. Ubaya wa soda uko kisayansi mwitu zaidi. Click to expand... people are dying of diabetes every day, which scientific prove do you need? usijitoe ufahamu
Mzingo said: Ni mpaka kuwe na uthibitisho wa kisayansi. Ubaya wa soda uko kisayansi mwitu zaidi. Click to expand... people are dying of diabetes every day, which scientific prove do you need? usijitoe ufahamu
Baikije JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 876 Reaction score 1,219 Apr 19, 2022 #24 Castr said: Eti kisa kashika Tecno C5 Click to expand... Hahahaaa dharau Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Castr said: Eti kisa kashika Tecno C5 Click to expand... Hahahaaa dharau Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Apr 19, 2022 #25 πππππ
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Apr 19, 2022 #26 Mshana Jr said: Ila inasaidia sana kuepusha zahama mbeleni Click to expand... Kabisa Watu watapunguza kutumia mikemikali hiyo Ova
Mshana Jr said: Ila inasaidia sana kuepusha zahama mbeleni Click to expand... Kabisa Watu watapunguza kutumia mikemikali hiyo Ova
F Fred Mwakitundu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 227 Reaction score 382 Apr 19, 2022 #27 Hata mim jana nimeuziwa soda buku badala ya mia 7 nilipomaliza kunywa na kulipa naambiwa soda buku,weeee,niliwaka ile mbaya mpaka chenji ikarudi,sipendagi ujinga mimi
Hata mim jana nimeuziwa soda buku badala ya mia 7 nilipomaliza kunywa na kulipa naambiwa soda buku,weeee,niliwaka ile mbaya mpaka chenji ikarudi,sipendagi ujinga mimi