Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake.

Ila nimekereka kitu kidogo sana, wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza, yaani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
 
IMG_20220108_170633.jpg
 
Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake.
Ila nimekereka kitu kidogo sana,wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza,yani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
Hoja dhaifu tumia glass mimina yote
 
Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake.
Ila nimekereka kitu kidogo sana,wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza,yani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
Tupiako kapicha basi kwa kina Thomaso tukuamini!
 
Kunywa bia achana na machemical hayo yaliyo changanywa na sukari
Watengenezaji wenyewe sijui kama wanazitumia

Ova
 
Back
Top Bottom