Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

Haujiulzi mwarabu na mahindi wanatutengenezea vitu ambavyo havina faida kwako hebu check Kuna Jambo soda ,mo soda ,Azam soda sayona, vyote hivyo ni kujiletea magonjwa. Naa hakuna siku moja utashauriwa hospital kuwa kanywe hizo. Mmeletewa pipi na biscuits chopsticks
Kweli kabisa mkuu
 
Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake.
Ila nimekereka kitu kidogo sana,wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza,yani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
Kumbe wewe shida yako siyo soda ila shida yako ni chupa. Kama utamu wa soda upo palepale kwa nini usiinywe kwa kutumia bakuli au kikombe au glasi?
 
Twist 300ml wanachakachua..
Twist 350ml iko vizuri
 
Kumbe wewe shida yako siyo soda ila shida yako ni chupa. Kama utamu wa soda upo palepale kwa nini usiinywe kwa kutumia bakuli au kikombe au glasi?
Reception ndio inashawishi mtu kukubali, ikiwa chupa sio muhimu kwanini uchague uchague mchumba mzuri wakati uchi ni ule ule? Date na mlemavu basi tujue kweli muonekano wa nje sio muhimu
 
reception ndio inashawishi mtu kukubali,ikiwa chupa sio muhimu,kwann uchague uchague mchumba mzuri wakati uchi ni ule ule? Date na mlemavu basi tujue kweli muonekano wa nje sio muhimu
Hao walemavu unaowaona wewe huwezi kudate nao kuna wanao date nao. Sawa na chupa za twist, wewe unaziona Zina reception mbaya wengine wanaona ni nzuri.

Au unataka nyembamba mithiri ya chupa la Pepsi Ili zikusaidie kwenye matumizi mengine (Jokes)
 
Back
Top Bottom