Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake.
Ila nimekereka kitu kidogo sana,wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza,yani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
Wabongo bhana! Soda yenyewe umenunua jero halafu unaogopa hata kumwaga tone 1, si utumie glass?
 
Mkuu konyagi inasimama yenyewe lakini bado wanywaji wanailaza...
 
Pamoja na maelimu yenu makubwa bado mnakunywa soda. Hongera kugundua udhaifu wa chupa ila kinywaji chenyewe hakina shida!!
 
Tafuta pesa uwe unakunywa fresh juice unachane na hayo masumu
 
Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake.
Ila nimekereka kitu kidogo sana,wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza,yani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
Kutokukaa mezani ni mkakati wa kibiashara. Lengo ni uimalize haraka na kununua nyingine.
 
Hii soda ilipendwa sana tena baada ya Mo kupunguza uzalishaji wa soda zake.
Ila nimekereka kitu kidogo sana,wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza,yani chini haina balansi ukiweka mezani vibaya unaweza kumwaga soda yako.
Haujiulzi mwarabu na mahindi wanatutengenezea vitu ambavyo havina faida kwako hebu check Kuna Jambo soda, Mo soda, Azam soda, sayona, vyote hivyo ni kujiletea magonjwa. Na hakuna siku moja utashauriwa hospital kuwa kanywe hizo. Mmeletewa pipi na biscuits chopsticks
 
Back
Top Bottom