Soda zimeisha mtaani!

Soda zimeisha mtaani!

Wanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Yes ni kweli....
 
Huo ni mkakati wa kuzipandisha bei,maana soda ya sh 500 kwa mangi xmass ilikua unauzwa 700,ni swala la muda tu
 
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Nadhani wizara husika ya viwanda na Biashara ilitazame hili kwa makini sana maana Jana soda za chupa zilikuwa zinauzwa 600 mpaka 700 kwa soda ya ml 350 wakati Pombe na vinywaji vingi vya alcohol Bei haikubadilika....Hili linànipa mashaka sana unaweza ukawa Mpango mkakati wa kupandisha Bei ya sukari kwa kutumia bidhaa zinazonunulika sana kwenye Jamii zetu Kama hizi Soft drinks ...... Mfano badala ya watu kunywa soft drinks wataelekea kutengeneza natural juice na Demand ya sukari ikiwa kubwa upungufu wa sukari utaongezeka watakuwa wamehit the target... itakuwa imeisha hiyo...
 
Jana kuna mahali nimeenda kula, naagiza soda hamna yaan hawana soda ya aina yeyote. Kifupi niliwaona wazembe sana.. kumbe sio kosa lao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, mimi jana ilitokea hiyo sema niliamua kuishia na maji tu maana sio mpenz sana wa soda sikufuatilia.. ah kumbe soda hamna
 
Nadhani wizara husika ya viwanda na Biashara ilitazame hili kwa makini sana maana Jana soda za chupa zilikuwa zinauzwa 600 mpaka 700 kwa soda ya ml 350 wakati Pombe na vinywaji vingi vya alcohol Bei haikubadilika....Hili linànipa mashaka sana unaweza ukawa Mpango mkakati wa kupandisha Bei ya sukari kwa kutumia bidhaa zinazonunulika sana kwenye Jamii zetu Kama hizi Soft drinks ...... Mfano badala ya watu kunywa soft drinks wataelekea kutengeneza natural juice na Demand ya sukari ikiwa kubwa upungufu wa sukari utaongezeka watakuwa wamehit the target... itakuwa imeisha hiyo...
Mkoani soda ni 600 kitambo tuu,afu kama malighafi zinatoka nje unadhani utakwepa kupanda Kwa bei?

Bei itapanda tuu hakuna namna ndio Hali ya maisha hiyo.
 
Back
Top Bottom