Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Yes ni kweli....Wanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Huo ni mkakati wa kuzipandisha bei,maana soda ya sh 500 kwa mangi xmass ilikua unauzwa 700,ni swala la muda tuWanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Wapandishe tu maana kila kitu kimepandaKama ndugu alivyosema hapo juu, hayo ni maandalizi ya kupandisha bei.
MmhWanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Nadhani wizara husika ya viwanda na Biashara ilitazame hili kwa makini sana maana Jana soda za chupa zilikuwa zinauzwa 600 mpaka 700 kwa soda ya ml 350 wakati Pombe na vinywaji vingi vya alcohol Bei haikubadilika....Hili linànipa mashaka sana unaweza ukawa Mpango mkakati wa kupandisha Bei ya sukari kwa kutumia bidhaa zinazonunulika sana kwenye Jamii zetu Kama hizi Soft drinks ...... Mfano badala ya watu kunywa soft drinks wataelekea kutengeneza natural juice na Demand ya sukari ikiwa kubwa upungufu wa sukari utaongezeka watakuwa wamehit the target... itakuwa imeisha hiyo...Wanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Ni bora zipande bei, mara dufu! , ili rate ya matumizi ipungue,Kama ndugu alivyosema hapo juu, hayo ni maandalizi ya kupandisha bei.
Jana kuna mahali nimeenda kula, naagiza soda hamna yaan hawana soda ya aina yeyote. Kifupi niliwaona wazembe sana.. kumbe sio kosa lao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoani soda ni 600 kitambo tuu,afu kama malighafi zinatoka nje unadhani utakwepa kupanda Kwa bei?Nadhani wizara husika ya viwanda na Biashara ilitazame hili kwa makini sana maana Jana soda za chupa zilikuwa zinauzwa 600 mpaka 700 kwa soda ya ml 350 wakati Pombe na vinywaji vingi vya alcohol Bei haikubadilika....Hili linànipa mashaka sana unaweza ukawa Mpango mkakati wa kupandisha Bei ya sukari kwa kutumia bidhaa zinazonunulika sana kwenye Jamii zetu Kama hizi Soft drinks ...... Mfano badala ya watu kunywa soft drinks wataelekea kutengeneza natural juice na Demand ya sukari ikiwa kubwa upungufu wa sukari utaongezeka watakuwa wamehit the target... itakuwa imeisha hiyo...