Wanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
kuna mdau mmoja wa coca alisema sababu ya kukosekana kwa bidhaa yao sokoni ni usimamishaji wa uzalishaji sababu ya ukosefu wa sukari ambayo ilizuiliwa bandari