Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

shenzi zako unaenda msikitini unakuta watu wanaswali unasema huku waislamu watupu, kama hukufuata mbunye uliyoyaona wachana nayo
 
Pole sana mkuu. Mi pia niliwahi kufedheheka niliingia club moja Kampala, nilishangaa ilivofika saa 6 usiku rangi za taa zikabadilika, aina ya mziki mara Dj anatangaza kwamba sasa umefika muda wa shetani. Huwezi amini waliingia kina dada wanakuwa wanajichezea maeneo yao nyeti wana squirt basi club nzima wanalipuka kwa shangwe. Nilibaki mdomo wazi ikabidi niondoke mapema kama muumba ataamua kuiangamiza ile club kwa radi au kimbunga visinikute.
 
Kuna kipi cha ajabu mkuu shida maeneo kama hayo uchelewi kuona mtu karusha chupa na pia utakuta bar inajaza kias kwamba hewa inakua ndogo ukitoka bar unakua km umetoka marathon.
Maajabu ya hapa ni kuwa kuna usalama wa kutosha....
Kingine an huyu jamaa kila jpili mfano leo hii mambo yatakua moto mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…