Mama hajiamini ingawa ni Rais kwasababu anaogopa wale ambao anafikiri wanamzidi ujuzi.
Kwasababu ya kutojiamini kunaleta utamaduni wa kujipendekeza ili Mama aweze kukuamini kama wewe ni msomi.
Balozi Mulamula aliondolewa sio kwa kukosa uwezo wa kuongoza wizara ya mambo ya nje lakini kwa uoga wa Mama na balozi huyu msomi hakuwa chawa.
Wakina Lissu wanamuogopesha sana Mama kwasababu ya usomi wao ni sio machawa. Polepole alipelekwa ubalozini kwasababu ya kuanza kufundisha vijana kujua majukumu yao ya uongozi na hakuwa chawa.
Kwasababu Mama hajiamini kwa elimu yake ya kuunga unga hata pale alipo pewa PhD bado hajiamini. Tusimshangae kujaza wanzanzibari sememu ambazo anaogopa maana anawaelewa zaidi.
Wakina Mwigulu na naibu waziri imebidi wawe machawa bila hivyo wataondolewa.
Ushauri somesheni vijana wetu na wafundisheni kujiamini. Mama sio kwamba hana uwezo lakini hajiamini hivyo yuko tayari kukaa na wajinga jinga na machawa kwasababu hawezi kufanya debate. Yaani hata mtu pandikizi kama Mpina anamwogopa!!!