Soka inalipa: Mchezaji Aziz Ki ana gari la gharama kubwa, million 500

Soka inalipa: Mchezaji Aziz Ki ana gari la gharama kubwa, million 500

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?
... πŸ’° π—¦π—’π—žπ—” π—Ÿπ—œπ—‘π—”π—Ÿπ—œπ—£π—”

Mercedes Benz G- Wagon 63 AMG (White) ndiyo ndinga mpya ya Aziz Ki.

πŸ’° Zero kilometer inafika mpaka Tsh 500+ million. Used inacheza Tsh 400+ million.

Features zake :

β—‰ Full-option β€Ίβ€Ί Alloy Wheel, Sensors
Camera, Bluetooth, Cruise Control,
Sun Roof, Leather seats, Push Start,
8 Cylinders, 5 Seats.

β—‰ Color β€Ίβ€Ί White exterior with Black interior.

β—‰ Transmission β€Ίβ€Ί 9-Speed Auto w/OD

β—‰ Engine β€Ίβ€Ί Twin Turbo Premium Unleaded
V-8 4.0 L/243 πŸ’ͺ

β—‰ Fuel Efficiency β€Ίβ€Ί 13 CITY/16 HWY (Petrol)

Note : Jiulize Tsh 500+ million katika ajira yako unaipata kwa muda gani ?!

Soka linalipa πŸ™Œβš½

Tom Cruz facts 🧠

1719724777904.jpg

IMG_3424.jpeg
 
Badala ya kuwaza mambo ya kusaidia Vijana, mnawazia umbea;
Kwani akiwa nalo au asipo kuwa nalo itakusaidia nini wewe kama Kijana?
Nilitamani kusikia vitu kama Mpunga unavunwa Morogoro & mbeya mwezi huu au Pengine Vitunguu vinatoka mwezi huu kule Arusha (na bei ilivyo juu huku mjini) hivyo vijana wajichange wakachangamkie Fursa.....
Mwanamme mzima umeweka bando kufuatilia maisha ya mwanamme mwenzakao???
 
Wadau hamjamboni nyote?
... πŸ’° π—¦π—’π—žπ—” π—Ÿπ—œπ—‘π—”π—Ÿπ—œπ—£π—”

Mercedes Benz G- Wagon 63 AMG (White) ndiyo ndinga mpya ya Aziz Ki.

πŸ’° Zero kilometer inafika mpaka Tsh 500+ million. Used inacheza Tsh 400+ million.

Features zake :

β—‰ Full-option β€Ίβ€Ί Alloy Wheel, Sensors
Camera, Bluetooth, Cruise Control,
Sun Roof, Leather seats, Push Start,
8 Cylinders, 5 Seats.

β—‰ Color β€Ίβ€Ί White exterior with Black interior.

β—‰ Transmission β€Ίβ€Ί 9-Speed Auto w/OD

β—‰ Engine β€Ίβ€Ί Twin Turbo Premium Unleaded
V-8 4.0 L/243 πŸ’ͺ

β—‰ Fuel Efficiency β€Ίβ€Ί 13 CITY/16 HWY (Petrol)

Note : Jiulize Tsh 500+ million katika ajira yako unaipata kwa muda gani ?!

Soka linalipa πŸ™Œβš½

Tom Cruz facts 🧠

View attachment 3029534
View attachment 3029549
Anakatwa kodi?
 
Badala ya kuwaza mambo ya kusaidia Vijana; Kwani akiwa nalo au asipo kuwa nalo itakusaidia nini wewe kama Kijana?
Nilitamani kusikia vitu kama Mpunga unavunwa Morogoro & mbeya mwezi huu; hivyo vijana wajichange wakachangamkie Fursa.....
Ni utamaduni wa vijana wengi tu wa kitanzania. Kutoa taarifa za maendeleo ya watu mbalimbali na pia maanguko yao. Hawa wanaitwa maripota wa kujitolea. Hawalipwi, wanaona ufahari kufanya kazi yao na wengi wao hawana kazi maalum au kama wana kazi basi ni hizi za kuhemea. Wanapenda sana ''ku-break news'' habari kama hizi.
 
Haya mambo yameharibu sana vijana wa Tanzania kufikia hatua ni kama hakuna vijana Tanzania.

Asilimia kubwa ya hao vijana ni masikini ambao wana ndoto za kuendesha Range Rover huku ela ya kula yenyewe shida. Na kazi hawapendi kufanya zaidi ya kushinda kwenye social networks as ndo maisha halisi.

Wengine ni janja janja na siyo waaminifu maana wanataka utajiri wa ghafla na mkubwa kama wa hao wanaowafuatilia kwenye social networks.

Wengi wamejikita kufuatilia maisha ya watu mitandaoni. Wakidhani ndo maisha halΔ±sΔ± na wala hawajitumi kufanya kazi kwa bidii wala kuleta mabadiliko kwenye Taifa.

Hasara kubwa!
 
Ni utamaduni wa vijana wengi tu wa kitanzania. Kutoa taarifa za maendeleo ya watu mbalimbali na pia maanguko yao. Hawa wanaitwa maripota wa kujitolea. Hawalipwi, wanaona ufahari kufanya kazi yao na wengi wao hawana kazi maalum au kama wana kazi basi ni hizi za kuhemea. Wanapenda sana ''ku-break news'' habari kama hizi.
Mwanamme mzima umeweka bando kufuatilia maisha ya mwanamme mwenzako???
 
Badala ya kuwaza mambo ya kusaidia Vijana, mnawazia umbea; Kwani akiwa nalo au asipo kuwa nalo litakusaidia nini wewe kama Kijana?
Nilitamani kusikia vitu kama Mpunga unavunwa Morogoro & mbeya mwezi huu au Pengine Vitunguu vinatoka mwezi huu kule Arusha hivyo vijana wajichange wakachangamkie Fursa.....
Mwanamme mzima umeweka bando kufuatilia maisha ya mwanamme mwenzakao???
Ambiere Herehoa
 
Huwezi nunua gari ya thaman ya usajili wako, ni either wewe ni kichaa, au mtoa madq Kuna shida kichwani kwako.
 
Comment za uzi huu unaonesha wazi watu ni watumwa wa kifikra za kimasikini. Yaani wamewaza chanzo chake cha mapato ni mshahara wa Yanga tu, vipi kama ana vyanzo vyake vingine vya mapato nje ya mshahara kama vile biashara au ubalozi wa kampuni fulani?
 
Comment za uzi huu unaonesha wazi watu ni watumwa wa kifikra za kimasikini. Yaani wamewaza chanzo chake cha mapato ni mshahara wa Yanga tu, vipi kama ana vyanzo vyake vya mapato kama vile biashara au ubalozi wa kampuni fulani?
Fanya kazi kwa bidii mkuu.
 
Labda kama Aziz Ki anauza ngada, hawezi kumiliki hiyo gari ikiwa mpya kwa pesa za kulipwa na tajiri wa gongo wazi.
Wtz mna ujinga ndio maana hata mifanyakazi ya Tz inadharaulika na serikali, kwahiyo unadhani nje na mshahara wake Azizi hajishughulishi na biashara or any other economic activities zinazoweza muingizia kipato?. Afu kwa mawazo haya na ww n baba wa familia?. Mwijaku amejenga nyumba yenye thamani ya 200+m, je unadhani ni kwa mshahara wake wa Clouds fm tu.
 
Badala ya kuwaza mambo ya kusaidia Vijana, mnawazia umbea; Kwani akiwa nalo au asipo kuwa nalo litakusaidia nini wewe kama Kijana?
Nilitamani kusikia vitu kama Mpunga unavunwa Morogoro & mbeya mwezi huu au Pengine Vitunguu vinatoka mwezi huu kule Arusha hivyo vijana wajichange wakachangamkie Fursa.....
Mwanamme mzima umeweka bando kufuatilia maisha ya mwanamme mwenzakao???
Kuna uzi kwa ajili ya mpunga unaovunwa moro na mbeya naomba uende huko ukashushe nondo zako
 
Back
Top Bottom