Soka inalipa: Mchezaji Aziz Ki ana gari la gharama kubwa, million 500

Comment za uzi huu unaonesha wazi watu ni watumwa wa kifikra za kimasikini. Yaani wamewaza chanzo chake cha mapato ni mshahara wa Yanga tu, vipi kama ana vyanzo vyake vingine vya mapato nje ya mshahara kama vile biashara au ubalozi wa kampuni fulani?
...wabongo wana wivu na chuki na maendeleo ya mtu by profession.
 
Labda kama Aziz Ki anauza ngada, hawezi kumiliki hiyo gari ikiwa mpya kwa pesa za kulipwa na tajiri wa gongo wazi.
Yani yule malaya Mange Kimambi anunuwe hilo gari ndio ashindwe Aziz Ki?

Mnazijuwa source zake zote za income?

Hivi hamjui hawa Mastar kuna bahasha wanapewa na matajiri?

Mimi nilifika nyumbani kwa Kikwete akiwa waziri na mchezaji wa Yanga tulipoondoka alimpa bahasha, sasa fikiria kwa matajiri kama GSM hawa nje ya mkataba wanavuta ngapi

Diamond alimpa Diara dollar ngapi? Diamond ni mtu wa media elewa kuna watu wanafanya kimyakimya.

Kibu Denis yupo Marekani na familia yake kuna wajinga nimeona wanahoji pesa kapata wapi? Seriously?
 
Sana tu.
 
Na mwisho wao ni kuvuliwa ubingwa.
 
Kamanda mbona makasiriko, Maza hausi kapiga simu nini?
 
Aaaa mshahara analipwa hauendani na magari hayo
Tufanye umeajiriwa unalipwa milion 5 kwa mwezi, hutakuwa na akili ya kufanya uwekezaji? Kama ni ndio, akili ya kuwekeza unayo peke ako?

Kamsome Martine Braithwaite mshahara anaulipwa kama unaenda na vitu anavyomiliki.
 
Kwa ujinga hakuna anaemzidi Mtanzania ukanda huu wa Afrika Mashariki. Nakubaliana na wewe.
 
Haitodumuu maana ashaanza kucheza na akina Mobetto

Soon utamuona Mobeto kwenye hii gari
 
Tufanye umeajiriwa unalipwa milion 5 kwa mwezi, hutakuwa na akili ya kufanya uwekezaji? Kama ni ndio, akili ya kuwekeza unayo peke ako?

Kamsome Martine Braithwaite mshahara anaulipwa kama unaenda na vitu anavyomiliki.
Angalia mtoa mada ,
Kasema soka linalipa.
Inaamana kwamba feza za soka ndio amezitumia kununu gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…