Soka la Afrika na udanganyifu wa umri

Soka la Afrika na udanganyifu wa umri

Sasa ndiyo nini kumharibia mwenzio? Ni kijiba cha roho huna lolote! Mijitu yenye roho kama wewe haifai kwenye jamii. Hata wakimfuatilia hawatajali maneno yako vielelezo vitajieleza majungu si mtaji. Dume zima linaleta umbea wa kike loh!
Umbea uko wapi hapo mkuu, naona jamaa kaongea uhalisia kuokoa soka letu. Unajua sheria zinasemaje mchezaji akighushi umri kwenye under ages cups? Mie namuona shujaa wa soka letu anastahili pongezi.
 
Umbea uko wapi hapo mkuu, naona jamaa kaongea uhalisia kuokoa soka letu. Unajua sheria zinasemaje mchezaji akighushi umri kwenye under ages cups? Mie namuona shujaa wa soka letu anastahili pongezi.
Wewe huoni kama anamuharibia mwenzie? kwani nani hajui kama kuna wachezaji wanaodanganya umri? Kwani asingemtaja na kuanika picha yake asingeeleweka? Watu wa hivi huwa wanasumbuliwa na wivu hawana lolote la maana.
 
TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF TFF kwanini lakini mnaruhusu haya mambo....?
 
Wewe huoni kama anamuharibia mwenzie? kwani nani hajui kama kuna wachezaji wanaodanganya umri? Kwani asingemtaja na kuanika picha yake asingeeleweka? Watu wa hivi huwa wanasumbuliwa na wivu hawana lolote la maana.
Kumharibia kivipi? Haya mambo ndio yanasababisha soka la bongo lisisonge mbele. Lengo langu ni zuri sana. Halafu sina wivu nae kabisa.
 
Ndio maana, basi mwambie ugali ushamwagika kitambo tokea asimamishwe kwa kuuza mechi dhidi ya Yanga.
Sina masrahi yoyote na mtajwa na hata sijui anafananaje,isipokuwa siyo uungwana kuweka mambo binafsi ya mtu hadharani ni lazima utakuwa na msukumo wa wivu ndani..ni muulize wewe hujawahi kudanganya chchte?
 
Sasa ndiyo nini kumharibia mwenzio? Ni kijiba cha roho huna lolote! Mijitu yenye roho kama wewe haifai kwenye jamii. Hata wakimfuatilia hawatajali maneno yako vielelezo vitajieleza majungu si mtaji. Dume zima linaleta umbea wa kike loh!
Jamaa katoa tu ya moyoni ila kusema kamuharibia ajamuaribia ata kidogo maana hivi vitu vinajulikana kwa sisi watu wa soka kitambo.
 
Sasa ndiyo nini kumharibia mwenzio? Ni kijiba cha roho huna lolote! Mijitu yenye roho kama wewe haifai kwenye jamii. Hata wakimfuatilia hawatajali maneno yako vielelezo vitajieleza majungu si mtaji. Dume zima linaleta umbea wa kike loh!
Ha ha ha!
Monicca bhana! Ndio maana najiandaa kuleta posa kwenu nikuoe wewe!!
 
Wanaodanganya sio wachezaji pekee, wabunge wapo hata mawaziri wanadanganya elimu zao na kutengeneza hata vyei feki na kama ni umri wachezaji si huwa wanapitia vipimo ili kubaini umri wao halisi sasa si wapimwe huko.

Halafu soka la Tz tatizo ni mfumo mbovu hakuna jitihada zinazofanyika kuandaa vijana wadogo na kukuza vipaji vyao ili waje kuimarisha timu ya taifa, mchezaji kudanganya umri anaharibu vipi soka la bongo?
 
Hili la kudanganya umri kwa wachezaji ni vigumu sana kulidhibiti hasa kwa wachezaji wa Africa. Ukiangalia umri wa wachezaji woote wanaocheza Ulaya kutoka Afrika unaweza ukawa chizi na ukachanganyikiwa. Hilo ni suala sugu.
 
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji2][emoji56][emoji42]
 
Si Afrika tu,
Mfano Diego Costa wa Chelsie umri na muonekano wake viko sawa?
 
View attachment 464609
Soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla ni kituko linapokuja suala la umri. Wachezaji wengi wamekuwa wakiongopea sana kuhusu umri wao halisi.

Wapo wachejazi wakubwa na wanaoheshimika ambao walishakumbwa na skendo ya udanganyifu wa umri.

Lengo la uzi huu sio kuwazungumzia hao bali huyu mchezaji wa Kagera Sugar ambaye namjua nje ndani.

Anajulikana kama Erick Kyaruzi, ni mchezaji mzuri ndio ila kadanganya umri mpaka inakera. Kwa tunaomjua hili halitupi tabu sana, lakini kwanini huu udanganyifu? Kwa manufaa ya nini hasa?, Ili iweje labda?

Huyu nimekuwa nae mtaani, nimesoma nae shule moja ya msingi nikiwa namtangulia darasa moja. Nimemaliza darasa la saba 2002, yeye 2003. Kutoka 2003 - 2017 ni miaka 14.

Nina miaka 29 kwa sasa, ina maana huyo labda ilitakiwa awe na miaka kuanzia 26-29, ajabu kadanganya ana 19. Karudisha nyuma miaka kuanzia 7-9. Sio jambo zuri kwa ustawi wa soka letu.

Tujirekebishe, Jamal Malinzi hapa una la kuongea.
Nikumbusheni jina la yule mrembo wa tz miaka ya juzi kati hapa naye alitia fora kwnye ishu kama hizi
 
Back
Top Bottom