Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Hakika nawasalimu.
Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa nyuma ni nadra Sana kumkuta mwanamke anashabikia soka, lkn hivi Leo wanacheza na kuimba kwenye mashindano mbalimbali, ni jambo jema. Soka ni mchezo wa Mpira wa miguu ambao miaka hii hata kimadada wanacheza. Awali wanaume walicheza pekeyao, hata hivyo unapochezwa ni jinsia Moja tu kupanga timu zao.
Kiuhalisia soka sio kama wengi wanavyodhani kila mtu anaweza kucheza la hasha, wengine hucheza kama sehemu ya mazoez. Soka inatumia IQ zaid ya wengi wanavyodhani, soka ni uwezo wa kuchezea Mpira wakati mchezaji anakimbiza, na hiki ni kipaji. Mtoto anaweza akasomea na asimudu mikimikiki ya wapinzan katika kuonesha uwezo wa kuchezea na kukimbiakimbia nao ukitumia miguu, kifua na kichwa.
Nchi masikini Zina idadi ndogo Sana ya wacheza soka duniani. Hii inatokana na sababu lukuki za kumuwezesha mtoto akue na kipaji hicho.
Kitaalamu tunaweza kusema nchi zinazoendelea hazitilii mkazo mambo mengi ya msingi. Kama Afya, lishe nk.
Lishe Bora huzaa Afya imara na ubongo wenye uwezo mkubwa, hivi Kwa nchi tajiri huwekeza katika Afya na hii hupelekea watoto wao kuwa na uwezo mkubwa katika mambo mengi si soka pekee.
Wazungu wannchi tajiri waliamua hata kuweka somo la michezo shuleni. Shule za ulimwengu wa Kwanza zinafundisha sports darasani.
Kidhihaka waweza SEMA nchi masikini haziko serious na mambo meeengi na si michezo pekee, na katika michezo Afya zilizodumaa haziwezi kushindana na Afya za walioimarika akilini.
Usishangae timu zinahangaika kufika kucheza world cup, haitakuja kutokea mpaka uwekeze kwenye lishe bora Kwa mtoto tangua tumboni. Zaidi ya hapo ni kuchezea pesa na Kodi za wa kulima na wafanyakazi.
Ushabiki si jambo Baya, lakini kama wadau wa michezo pasipo kuwekeza ni sawa na kuchezea nafasi pekee duniani inayotumika na kutumiwa kama burudani, ajira na biashara.
Nitaje maambo muhimu,
1. Lishe Bora
2. Kuwekeza darasani somo la michezo.
3. Kufanya michezo iwe mfumo.
4. Wafanyabiashara kuhamia na kuwekeza zaid kwenye michezo.
5. Kutumia kanuni za FIFA. Serikali ikae pembeni inapowaweka mawaziri na wizara husika iwe na kikomo. Si kuingia maeneo yanayotakiwa fifa inapotaka kuchukua nafasi yake....hapa nawaona mawaziri wanaingia na kukanyagana hovyo na mifumo. Kwa mf. Serikali iachie maeneo mengi ya wazi watoto na watu wacheze soka nk.