Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wiki jana nilisema humu kwamba wanasiasa wa Tanzania pasipo na kuwiwa utashi wa kulisimamia soka letu hakika hatutofika popote!
Hivi zaidi ya majivuno na nyodo uongozi wa Karia pale TFF unacho kipi cha ziada ulichokifanya sana sana ni kufungia wanafamilia wa mpira wa miguu?
Football ni zaidi ya siasa safi na yenye wingi wa mapato ya kikodi kwa nchi pale uongozi wa taasisi husika inapokuwa na viongozi werevu wasio na hofu ya ushindani na kukomoana.
Serikali ya CCM mkiendelea kumchekea Karia na kikundi chake tambueni malengo mahsusi yahusuyo sekta ya michezo hasa mpira wa miguu hayatafikiwa kamwe abadani.
Maskini kwa ukubwa wote wa Tanzania yetu na rasilimali zote tuliobarikiwa na mwenyezi tunashindwa nini kuwekeza kwenye mipango iliyo chanya kwenye football?! Issue kama ni vipaji mbona tunavyo vya kutosha!
Ukweli ni kwamba TFF ya kuanzia Malinzi na hiyo ya Karia ndiwo Viongozi walio rejesha nyuma soka letu kwa 90%.
Hovyo kabisa!