makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Soka letu limekuwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Jiulize tu kwanini Ligi ya China au Saudia sio maarufu kama ya EPL?Sio nisichoelewa, usichoelewa wewe ni kuwa watanzania wanapenda mpira tangia zamani, hawahitaji hamasa kuipenda Simba, au Yanga,
ni Simba ikifanya vizuri kutokana na uwekezaji wake, na uwekezaji wa kampuni kama Azam, na mashabiki wanahamasika zaidi, hata Taifa Stars ni hivyo hivyo, haihitaji hamasa uchwara bali uwekezaji mzuri na uwanja wa Taifa unakua unajaa,
Hao wachambuzi uchwara na wapiga domo , mpira hauhitaji domodomo, ni hela na management nzuri....Dunia nzima, mpira ni uwekezaji na management nzuri
Na vituo vimeongezeka, sio enzi za kutegemea RTD peke yake. Hamasa ni kubwa sana sasa hivi, ndio maana tunaona uwekezaji mkubwa kwenye soka letu.Radios karibu masaa 5 kwa siku ni habari za michezo
Na me naona hivyoSOKA LETU LIMEKUA KIDOGO
Cha kuomba mabosi na wawekezaji wasi nune,Tumesogea kidogo si haba na tukienda kwa mwendo huu 2030 tutakua miongoni mwa wababe wa bara
DRC wana vipaji kuliko Tanzania kwa ujumla wa wachezaji walikua wanalipa vizuri kwenye zile klabu zao mbili kubwa ila vita imewarudisha nyuma,Katumbi kabla hajapata matatizo ya kisiasa na kwenda uhamishoni walikua wapo vizuri kwa timu yake ya mazembe ila baada ya kurudi toka kwenye maswala ya kisiasa inaonekana hawajarudi katikabmsuli ule waliokua nao kabla na Mazembe wameanza upya wamejenga uwanja na kuanza kwenye timu za vijana wamewekeza naona nguvu zimepungua As vita ile yakina Ibenge ilikua hatari na Hela walikua nazo kuka kitu Congo kimetokea kwenye uchumi wao maana hata As vita kama wana mdororo wakiuchumiKuliko ligi ya DRC?
Hamasa ilikuwepo tangia zamani, haijaletwa na Manara, sijui umezaliwa au umeanza kufuatilia soka lini, ila ushabiki wa Simba na Yanga ni mkubwa kabla hata Manara hajazaliwaMkuu, Jiulize tu kwanini Ligi ya China au Saudia sio maarufu kama ya EPL?
Na hakuna MTU ataweka hela yake kwenye Soka ambalo halina Hamasa.
Yaani watu wananunua haki za matangazo halafu wewe unasema hakuna haja ya hamasa, kiaje aisee?
Mbona DRC imetulia sasa hivi kuliko enzi za KabilaDRC wana vipaji kuliko Tanzania kwa ujumla wa wachezaji walikua wanalipa vizuri kwenye zile klabu zao mbili kubwa ila vita imewarudisha nyuma,Katumbi kabla hajapata matatizo ya kisiasa na kwenda uhamishoni walikua wapo vizuri kwa timu yake ya mazembe ila baada ya kurudi toka kwenye maswala ya kisiasa inaonekana hawajarudi katikabmsuli ule waliokua nao kabla na Mazembe wameanza upya wamejenga uwanja na kuanza kwenye timu za vijana wamewekeza naona nguvu zimepungua As vita ile yakina Ibenge ilikua hatari na Hela walikua nazo kuka kitu Congo kimetokea kwenye uchumi wao maana hata As vita kama wana mdororo wakiuchumi
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mkuu, nafikiri wewe ndio una mtazamo wa Usimba na Uyanga. Labda ningetumia jina tofauti na Manara.Hamasa ilikuwepo tangia zamani, haijaletwa na Manara, sijui umezaliwa au umeanza kufuatilia soka lini, ila ushabiki wa Simba na Yanga ni mkubwa kabla hata Manara hajazaliwa
Wewe unaonaje?Kwa miaka mingi sana vilabu kutoka Tanzania vimekua si lolote si chochote kwenye soka la Afrika mpaka pale Simba SC walipo kata utepe kwa ku Qualify Group stage, kwa umri wangu ndio mara ya kwanza niliona klabu ya Tanzania kuingia group stage licha ya kwamba miaka yote alikuwepo bingwa alie enda kushiriki
Baanda ya miaka kadhaa kwa Simba SC kuendelea kutamba huko kumataifa tumewaona Yanga Sc na wao waki anzisha utawala wao kiasi cha kutinga mpaka fainali shirikisho barani Africa
Msimu huu timu zote mbili zinawania tiketi ya kwenda clabu bingwa makundi, ila tayari Yanga kasha weka mtaji wa ushindi wa goli mbili igenini huku simba wao wakitoka sare na goli mbili za away
Kwa hesabu za kawaida ni kama Yanga amesha fuzu na simba wana zaidi ya nusu ya asilimia kufuzu makundio
Kwa mantiki hii kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika Tanzania inapeleka vilabu viwili makundi ya clabu bingwa Afrika,
Wengi wanachukulia wepesi hili jambo ila sio jambo la kuchukulia wepesi kabisa.
Hii ni zaidi ya achievement.
Swali ambalo nime jiuliza na kukosa majibu haya yanayo endelea ni kwasbabu ya kukua kwa soka la Tanzania au, soka la Afrika limeshuka so na watanzania wana serereka huko?
Kuna siku Yanga na Simba watakutana huko clabu bingwa kwenye mtoano, iwe robo au nusu, au fainali, na hapo ndio patakapo chimbika bila jembe.
NdioUpo sahihi mzee, inataka kusema mataifa kama kenya, uganda, rwanda hawa wekezi. Vya kutosha?
Hao wanepoeomokaMbona DRC imetulia sasa hivi kuliko enzi za Kabila
Wawekezaji ndio wenye kuhitaji Hamasa ya kutoa hela pasipo hatari ya kupata hasara. Kupenda timu tu haisaidii kuita wawekezaji bila support ya wadau wengine kama media, Ushabiki tu hautoshi.Sio nisichoelewa, usichoelewa wewe ni kuwa watanzania wanapenda mpira tangia zamani, hawahitaji hamasa kuipenda Simba, au Yanga.
Hapo juu ulidai mashabiki hawahitaji Hamasa, hapa unakiri kuwa kuna Kuhamasika zaidi.ni Simba ikifanya vizuri kutokana na uwekezaji wake, na uwekezaji wa kampuni kama Azam, na mashabiki wanahamasika zaidi
Unatakiwa ujue hilo domo ni sehemu Uwekezaji. Propaganda ni sehemu ya Biashara. Tafakari vema.Hao wachambuzi uchwara na wapiga domo , mpira hauhitaji domodomo, ni hela na management nzuri....Dunia nzima, mpira ni uwekezaji na management nzuri
Ni kweli lakini pia congo wachezaji wengi wazuri wanamilikiwa na watu sio timu na wameona tobo kwa sasa lipo Tanzania kwani ligi yetu baada yao kushuka sisi imepanda na ina promo kubwa Africa pia ni sehemu nzuri ya kutokea kwahiyo biashara nyingi zimekua kuja TanzaniaMbona DRC imetulia sasa hivi kuliko enzi za Kabila
Kalewa huyo Tango Pori hajui anaandika nini.Taifa Stars inayumbaje wakati ndo team pekee ya Taifa kutoka EA iliyofuzu Afcon!?
Huyo jamaa ana issue binafisi na ManaraMkuu, nafikiri wewe ndio una mtazamo wa Usimba na Uyanga. Labda ningetumia jina tofauti na Manara.
Swali unalopaswa kujiuliza ni kwanini hakujawahi kuwa na Uwekezaji mkubwa kama huu huko nyuma licha ya kuwa Ushabiki wa Yanga na Simba ulikuwepo?
Nimetaja watu kama Manara, ndani yake kuna wengi sana, nimetaja media ikiongozwa na Azam, ndani yake zipo mpaka online Tv, nimetaja wawekezaji sio wadhamini wa Timu na Ligi tu, bali pia hao wadau wengine wote wa mpira.
Why Uwekezaji Leo!? Jibu ni Kukua kwa Hamasa. Hii haikuzwi na wafadhili au Azam au Manara peke yake, ni mchango wa wengi sana.
Cha muhimu ni kujua, KUKUA KWA LIGI YETU HAKUNA FACTOR MOJA.
AahaaaaaMpira bongo kipindi ndio kulikuwa na mpira wa juu. Ila hakukuwa na wawekezaji, na hakukuwa na TV, Nyerere aliharamisha.
Siku hizi kuna uwekezaji timu zinanunua wachazaji kutoka nje
View attachment 2752884