Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

Naona kuna wakati kuliingizwa magoli pacha🤓🤓🤓🤓🤓🤣🤣🤣🤣
 
Mfungaji bora hajatokea kwenye hizo mechi kweli?
 
Kufungwa twafunga ila chenga twawala...

Mabo 50, walikua wamesimama au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…