kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Chura??maana vyura ndio wanalalamika muda wote wakati huu
Goli LA 3 LA soura ulifunga wewe au ndio fundi WA kulalamika tuTunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Rubish.Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
duh as saura ndo timu gani ni js saoura na aggregate simba 3 js saoura 2 we hata mpira hujuiTunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Kafirwe shoga weweTunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Wewe ni Chura??umezuka mtindo wa vyura kulalama kila mahaliTunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.

Wewe si ndio ulikuwa ukitafutwa na Taasisi fulani?
Wacha uzushi. SOURRA uliwafungia wewe.
Mliyekuwa mnayempigia magoti alikuwa msambaa?
Pressure inazidi kupanda.Mavi yanagonga chupi.Huu ni mwanzo tu.
Mkuu, katika stage ya makundi huwa hakuna mtoano, so aggregates huwa haiangaliwi immediately kabla ya points, ndio maana Simba imesonga mbele na bingwa wa soka wa DRC 2018/19 AS Vita amerudi nyumbani kuitazama Simba kwenye TV. By the way sijajua ni goli gani la ugenini walilopata Saoura dhidi ya Simba, inaelekea bado kuna kitu kimekuchanganya leoUkiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mkuu, nane bora ya Yanga mwaka 1998 haikuwa robo fainali, ilikuwa ni hatua ya makundi. Nane bora ya sasa 2019 ndio robo fainali, yaani baada ya kupenya kwenye kundi. Kumbuka, Yanga haikufanikiwa kushika hata nafasi ya tatu, ilikuwa ya mwisho kabisa mkiani. Simba mwaka 2003 ilishika nafasi ya tatu katika makundi, na mwaka huu 2019 imeshika nafasi ya pili. Kuna tofauti kubwa sana ya mafanikio ya ushiriki wa Yanga na wa SimbaPia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Baada ya ukweli huu sidhani kuna POPOMA yeyote atayethubutu kuja na uzushi tena.
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Mkuu nakusahihishaTunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.