thanos
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,117
- 1,174
Moja kati ya post za kipuuzi kuzisoma huu mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Sent using Jamii Forums mobile app