Soka Letu liko katika Hali tete sana

Soka Letu liko katika Hali tete sana

Moja kati ya post za kipuuzi kuzisoma huu mwaka
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mikia fc ni sheeder hao.
 
Huko dimbwini maji yamekauka?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uchochele FC baraka ya mdomo tu.Roho ya husda inazidisha umaskini.
 
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Saizi mvua zimeanza kunyesha ko sishangai kusikia kelele za chura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sentenso yako ya mwisho siyo rafiki katika au kwenye Jamii Forums...kwa lugha hiyo ni wazi umrri wako ni mdogo sana...na inawezekana umetoka Facebook...jifunze kujadiliana kwa hoja na siyo matusi...MODS watu wa aina hii ni kuwaondoa humu JF..Huu ni mtandao wa watu wa aina nyingi...msituletee lugha za wanafunzi wa darasa la nne au la saba humu...
Hoja ni ipi kwenye hii thread ili ajadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waimba taarabu ndani ya nyumba. Mafuriko huja na maajabu yake.
Beggars cannot be choosers. They get what they deserve. MAJUNGU.
Hivi rufaa ya AS Vita ya kupuliziwa madawa imefikia wapi?CAF wamejibu nini? CHURA mbona kimya?
 
Back
Top Bottom