Soka Letu liko katika Hali tete sana

Soka Letu liko katika Hali tete sana

Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
 
Goli LA 3 LA soura ulifunga wewe au ndio fundi WA kulalamika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Rubish.
Utakombolewa wewe, mie sio mtumwa.

duh as saura ndo timu gani ni js saoura na aggregate simba 3 js saoura 2 we hata mpira hujui
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Kafirwe shoga wewe
 
Wewe ni Chura??umezuka mtindo wa vyura kulalama kila mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia mnashiriki umiseta ngazi ya Mkoa,jana mlikuwa Mwanza ni kweli?
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si ndio ulikuwa ukitafutwa na Taasisi fulani?

Wacha uzushi. SOURRA uliwafungia wewe.
Mliyekuwa mnayempigia magoti alikuwa msambaa?
Pressure inazidi kupanda.Mavi yanagonga chupi.Huu ni mwanzo tu.

Sentenso yako ya mwisho siyo rafiki katika au kwenye Jamii Forums...kwa lugha hiyo ni wazi umrri wako ni mdogo sana...na inawezekana umetoka Facebook...jifunze kujadiliana kwa hoja na siyo matusi...MODS watu wa aina hii ni kuwaondoa humu JF..Huu ni mtandao wa watu wa aina nyingi...msituletee lugha za wanafunzi wa darasa la nne au la saba humu...
 
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mkuu, katika stage ya makundi huwa hakuna mtoano, so aggregates huwa haiangaliwi immediately kabla ya points, ndio maana Simba imesonga mbele na bingwa wa soka wa DRC 2018/19 AS Vita amerudi nyumbani kuitazama Simba kwenye TV. By the way sijajua ni goli gani la ugenini walilopata Saoura dhidi ya Simba, inaelekea bado kuna kitu kimekuchanganya leo
 
Sentensi yangu ya mwisho ni huu ni mwanzo tu.Au hujui hata maana ya mwisho?
Kuna matusi kwenye maneno niliyoandika?Au pressure inakusumbua?Wacha kujifanya una haki miliki ya uhuru wa kujieleza.
 
1059491
 
Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Mkuu, nane bora ya Yanga mwaka 1998 haikuwa robo fainali, ilikuwa ni hatua ya makundi. Nane bora ya sasa 2019 ndio robo fainali, yaani baada ya kupenya kwenye kundi. Kumbuka, Yanga haikufanikiwa kushika hata nafasi ya tatu, ilikuwa ya mwisho kabisa mkiani. Simba mwaka 2003 ilishika nafasi ya tatu katika makundi, na mwaka huu 2019 imeshika nafasi ya pili. Kuna tofauti kubwa sana ya mafanikio ya ushiriki wa Yanga na wa Simba
 
Sawa mke wetu endelea kulalamika, ni nature ya jinsia yenu hiyo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.

Naomba vyura msikie na Muambiane
Lengo la kwana la simba ni kuingia group stage wakafanikiwa

Lengo la pili ni kuhakikisha kuwa point hakuna timu yoyote kuondoka na point 3 nyumbani hilo walifanikiwa hatukuwa na lengo la point 3 ugenini

Ila imeandikwa wamwisho kucheka ndo mwenye furaha
Na ndo maana kocha wa ahly alilia wakati kocha wa simba alikuwa anacheka the same kwa vita walilia uwanjani simba akawa anacheka ijapokuwa wana aggregate ya 5 na 6
 
Tunashangilia na kuweka rekodi ambazo ni za kujidanganya.
Tumeingia makundi AFCON 2019 ila finali hizo zina mataifa 24 kati ya 52. Yaani 50% wanaingia. Fainali za kina Peter Tino ni timu 8.

Pia kuna hii timu feki ya wapopo wa Kanjibai, eti imeingia robo fainali yaani nane bora kana kwamba nane bora Yanga haikuwahi kuingia.
Ukiangalia nane bora yenyewe aggregates zote imeshindwa. Yaani,
Mikia vs. AS Soura 3-3 (Soura mshindi goli la ugenini.)
Mikia vs AS Vita 1-6
Mikia vs. Al Ahly 1-5.
Lakini eti wameingia robo fainali.
Haya ndiyo matatizo ya kubebana, safari bado ndefu. Tusubiri Yanga itukomboe.
Mkuu nakusahihisha
Simba vs vita club(2-6)aggregate
Simba vs el ahaly(1-5)
Simba vs soura(3-2)

So ulipotosha kidogo hapo kwenye aggregate ...sasa sijajua Ni makusudi au ulisahau...au Ni kuongeza chumvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom