permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hoja yako ni sehemu ya hoja kubwa kuwa Ulaya na mataifa mengine makubwa wamepiga hatua kubwa kwa mambo mengi. Viwanda, huduma za afya, michezo, na taaluma mbalimbali. Jiulize wakati sisi tunakimbizana na matundu ya vyoo, kuna nchi kipaumbele chake ni kutafuta uwezekano wa kuishi katika sayansi nyingine.Oi oi oi,
Wakuu leo nataka kufahamu kwanini Ulaya wanacheza mpira mzuri sana? Naangalia memchinya ARS na MUN, wanacheza vizuri sana bila kuvunja sheria za mpira.
Kulikoni huku kwetu watu wanacheza mpira kama wanacheza singeli na bado wanasifiwa wanajua kucheza?
Tunakwama wapi Afrika, namba kujua?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app