Soka: Ulaya dhidi ya Afrika

Hoja yako ni sehemu ya hoja kubwa kuwa Ulaya na mataifa mengine makubwa wamepiga hatua kubwa kwa mambo mengi. Viwanda, huduma za afya, michezo, na taaluma mbalimbali. Jiulize wakati sisi tunakimbizana na matundu ya vyoo, kuna nchi kipaumbele chake ni kutafuta uwezekano wa kuishi katika sayansi nyingine.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Changamoto kubwa ni miundombinu tu (viwanja n.k)
Angalia Simba/Yanga ya viwanja vya mikoani halafu fananisha wakiwa kwa Mkapa, utapata majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…