Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato, Waziri Biteko atoa maagizo

Haya yote ni madhara ya kizazi kilicholaliwa sana na mabeberu ! Tungoje sasa kizazi kinacholaliwa na makabaira uchwara kitatoa kichaa aina gani
 
Kuna maoni ya baadhi ya watu wa Ufipa ukisoma unaweza jiuliza hawa wanawaza kutumia magoti Au ubongo??

Pungezeni mihemuko Vijana..

Viva JPM
Mihemuko inawatia upofu wanakuwa kama mataahira vile. Masoko yanapaswa kuwepo kila mkoa na wilaya(kutegemeana na upatikanaji). Ndiyo sababu hata wilaya ya Chunya kuna soko "kuu" la madini ilhali Chunya si mkoa. Tatizo la mfumo wetu wa elimu mara nyingine humjaza mtu ujinga badala ya kuuondoa. Ndiyo sababu thread imejazwa na post za kimbea mbea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una Ujinga mwingi
Kama mimi nina ujinga mwingi kutokana na kuunga mkono maendeleo ya Chato, then tuna wajinga wengi sana na sio pekee yangu
Naendelea kusisitiza msimamo wangu huu
P
 
Huyo jamaa anajiita the change anazingua sana twita sasa hapo alitaka hayo masoko yawe wapi sasa msoga ambako hata makinikia tu hamna duh watu wanafiki sana hapa tz.
 
Kutokana na kiasi cha dhahabu kinachopatikana katika mkoa wa Geita soko moja halitoshi. Una takwimu za mwaka huu Geita wametoa gold kiasi gani?
 
Unaumia mkuu .hawa wote mnaoumia ni wale wenye itikadi za kikenya tu.
Mana huwa mnashindana mpaka kimakabila ama kimkoa ,
Yani mtaumia awamu hii.
Ikulu nayo iende chato. Something not right in my beloved country
 
Pole ni kweli kumenoga ama hujaona saivi na huko kuna wasomi. Ama hawastahili vyeti vyao ni feki Bali vya kwenu ndo original
QUOTE="GODZILLA, post: 33908630, member: 266148"]
This "chattle disease" is becoming chronic by the day!

Kila kitu chattle tu?

Hata ambao hatukuwa na mawazo ya ukanda tunaanza kupata mashaka!

Eti chattle kumenoga!

Ukichaa mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
..hukumsikia Waziri Prof.Kabudi akidai kura za kanda ya ziwa zinatosha kumpa ushindi Jpm?

..kama siyo mwenyeji wa huko tafuta chama kingine tu. Hata mikutano ya hadhara kidogo kidogo hotuba zimeanza kuwa za kilugha.
Kabudi atamwombea za Wagogo wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…