Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato, Waziri Biteko atoa maagizo

Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato, Waziri Biteko atoa maagizo

Nasema hivi, Chato hakuna dhahabu ya kufunguliwa soko. Soko la Buseresere lilikuwa linatosha sana, kama ni hivyo bora lingefunguliwa Biharamulo! Nasema banyan'ing'we!
 
Nasema hivi, Chato hakuna dhahabu ya kufunguliwa soko. Soko la Buseresere lilikuwa linatosha sana, kama ni hivyo bora lingefunguliwa Biharamulo! Nasema banyan'ing'we!
Kila kitu lazima kiende Chato
 
Makao makuu ya mkoa wa Geita yahamie Chato au kuundwe mkoa mpya ili Chato iwe makao makuu ili kumuenzi JPM. Baadaye tuanzishe na mkoa wa Butiama, Chalinze na Masasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G Sam,


Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato, Waziri Biteko atoa maagizo

Geita ambapo alisema uwepo wa masoko hayo umewezesha kuongeza mapato ya serikali kutoka Sh1 bilioni zilizokuwa zikizalishwa awali na sasa Serikali inapata zaidi ya Sh234 bilioni kwa mwezi.
Awali,

Huu uongo haukubaliki kama kwa sasa tunapata mapato ya TSH 234 BILIONI basi hakuna haja ya kuomba misaada nje, hakuna haja ya mwanafunzi kufanya maandamano kwa kukosa pesa ya kujikimu, wafanyakazi wote kima cha chini iwe tsh 800,000. Acheni uongo mnajidanganya wenyewe tutawafunga kwa kusema uongo, kwasasa anajiona mko juu ya sheria lkn hapo mbeleni tutawaburuza mahakamani kwa kuwaibia watanzania. Kwani mtatueleza haya 234 bilioni mbona hatuzioni ina maana mnakula wenyewe. Time will tell
 
Hahaha, UPI? Ile mrefu barani Africa? Labda km ana share na Mungu!
Mkuu usiseme.hivyo, juzi jopo la wataalam tumekalishwa kufanya tathmini na kuchonga mlima mrefu kuzidi Kilimanjaro! Kazi ipo awamu.hii ka ya zuzu vile!
 
Asilimia 90 ya waliocomment hapa hawaujui mkoa wa Geita.
Wilaya zote za mkoa wa Geita zina masoko ya madini.
Kuna soko LA madini Masumbwe wilaya ya Mbogwe,
Kuna soko la madini Ushirombo wilaya ya Bukombe,
Kuna soko la madini Geita,
Kuna soko la madini Nyang'hwale,
Kuna soko la madini Chato.View attachment 1305321View attachment 1305322

Watanzania wengi wamekuwa wepesi wa hoja wakiambiwa kitu tu wanarukia kama ilivyokuwa daladala. Waulize kama kwenye mikoa mingine wamezuiwa kuweka masoko ya madini. Wanataka wauze nini? Soko la madiniinakuwa nongwa mbona hawahoji masoko ya vitu vingine?
 
Swala ni kuwa je kam Geita kuna soko tayari na Chato ni Geita sasa kulikuwa na haja gani ya kujeng lingine chato?
Kam chato iko mbali sana na kweye hilo soko basi sawa otherwise ni matumizi mabaya ya rasilimali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulio mbali na hayo masoko tusitamke chochote. Nadhani yapo mbali na jingine
 
Back
Top Bottom