Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato, Waziri Biteko atoa maagizo

Swala ni kuwa je kam Geita kuna soko tayari na Chato ni Geita sasa kulikuwa na haja gani ya kujeng lingine chato?
Kam chato iko mbali sana na kweye hilo soko basi sawa otherwise ni matumizi mabaya ya rasilimali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama soko lipo simanjiro hukuhoji itakuwa chato ambayo sehem nyingi kuna madini mengi?
 
Japo Chato nayo ni Tanzania lakini tukubali tukatae Haya Ni Mambo ya upendeleo wa kiwango Cha SGR.
kwa hili Rais Magufuli na wizara ya madini sijakubaliana nanyie kabisa.

This is too much selfish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona wewe umekuwa mtu wa kuunga mkono kila kitu. Even this kind of shit selfish unaunga tu mkono daah.

Ama kweli idadi ya wapiga kura tunazidi kupungua kila kukicha kwa sababu za Ongezeko kubwa la Wachumia Siasa. Huyu nae tushampoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwe chato,ambayo ni geita au mwanza au dar au popote ni sawa tu..cha msingi mapato yafanye kazi kwa nchi nzima..wengine hatujari materials zipo wapi tunajari actions/matokeo..plus iyo itasaidia kanda za pendezoni kama vile kagera mwanza kigoma shinyanga..katika ukuaji uchumi pia maana biashara ikichangamka mikoa ya jirani lazima tunufaike mara dufu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don’t worry, kuna watu hata wapelekewe maendeleo kiasi gani hawataendelea na wakiendelea basi kwa kasi ya kobe baada ya 10 years ndio utaelewa kauli yangu
 
No it's not true kuwa mimi naunga mkono kila kitu, no!, mimi naunga mkono kila kizuri kinachofanywa na Magufuli na awamu ya 5 lakini kwenye vibaya au mabaya ninakosoa sana tuu.
Karibu unirembelee mitaa hii.
P
 
Asilimia 90 ya waliocomment hapa hawaujui mkoa wa Geita.
Wilaya zote za mkoa wa Geita zina masoko ya madini.
Kuna soko LA madini Masumbwe wilaya ya Mbogwe,
Kuna soko la madini Ushirombo wilaya ya Bukombe,
Kuna soko la madini Geita,
Kuna soko la madini Nyang'hwale,
Kuna soko la madini Chato.
 
Reactions: Ole
wavadilishe na jina la mji maana hilo la chatu halina mvuto.
 
Nashauri pia ijengwe ikulu ndogo chato iwe na tugorofa tusita ivi
 
Kasi ya kuleta maendeleo Kwa kanda ya ziwa bado ni mdogo sana cjui kuna tatizo gani kwa Rais wetu jamani.Tunahitaji MUHIMBILI ihamie MWANZA au Chato, Mlimani city Shopping center ihamie mwanza Au chato.Viwanja vya ndege vijengwe kila kata.Viwanda vya Cement, Mbolea, samaki, sukari,magari na nk vyooote vijengwe kanda ya ziwa.Kwa kweli hii kanda ilichelewa saaaana na ilicheleweshwa na roho mbaya za marais waliotangulia.Huyu ameonesha nia ya kuijenga kanda ya ziwa lkn naona kama yuko TOO SLOW, Cjui anakwama wapi MZEE MAGU jamani!???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…