Soko la ajira Industrial Engeneering likoje ?

Soko la ajira Industrial Engeneering likoje ?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Naomba mniambie kuhusu fakat ya industrial engineering ikoje na upande wa ajira pia vipi
 
Kuna tofaut gan kat ya fakat na course
 
Kuna tofaut gan kat ya fakat na course
 
Wewe acha wehu utaishia kufanya kazi viwanda vya wahindi, nenda kasome Civil
 
Wewe acha wehu utaishia kufanya kazi viwanda vya wahindi, nenda kasome Civil
Hahaha mkuu upo vzur bt civil c ndo hawa wanaolalama kla cku hawana ajira au kwa kuwa njian kuna magorofa unaona yanajengwa xawa mkuu ila jpange!
 
Hahaha mkuu upo vzur bt civil c ndo hawa wanaolalama kla cku hawana ajira au kwa kuwa njian kuna magorofa unaona yanajengwa xawa mkuu ila jpange!

wewe embu acha utani wew,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,civil eng gani analalamika ajira...kijana soma hyo ..ajira zake hazisumbui tofauti na koz zingine
 
wewe embu acha utani wew,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,civil eng gani analalamika ajira...kijana soma hyo ..ajira zake hazisumbui tofauti na koz zingine
Aaah kumbe ivi na wale wa2 waliokuwa wanalalamika kipind fulan kweny media kuhucu civil iliishiaga wap mkuu!
 
acha kuwaza ajira kama unawaza ajira soma education and doctor of medicine ndio soko lake kubwa other wise omba tu mungu upate ajira unapomaliza masomo yako
 
Back
Top Bottom