Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofaut gan kat ya fakat na course
Course ipo ndani ya Faculty. mfano Faculty of Engineering ndo utaikuta iyo Industrial Engineering, Mechanical etc
Hahaha mkuu upo vzur bt civil c ndo hawa wanaolalama kla cku hawana ajira au kwa kuwa njian kuna magorofa unaona yanajengwa xawa mkuu ila jpange!
Kuna tofaut gan kat ya fakat na course
wewe embu acha utani wew,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,civil eng gani analalamika ajira...kijana soma hyo ..ajira zake hazisumbui tofauti na koz zingine
Aaah kumbe ivi na wale wa2 waliokuwa wanalalamika kipind fulan kweny media kuhucu civil iliishiaga wap mkuu!wewe embu acha utani wew,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,civil eng gani analalamika ajira...kijana soma hyo ..ajira zake hazisumbui tofauti na koz zingine
Kwa Hiyo Nikusema Kwamba Mechanical Haina Dili