Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta hakuna mtu. Mnaenda nchi mnakuwa kama watumwa!!!!. Ndiyo maana tuacheni wale diaspora hasa wanaofanya kazi nzuri waeLIMISHE vijana wetu badala ya kuwapiga madongo
View: https://youtu.be/o8c9d1fvdnw?si=kXvHdgyfVr0co7Ba
View: https://youtu.be/o8c9d1fvdnw?si=kXvHdgyfVr0co7Ba