Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,172
Ndo lengo langu mkuu ila nataka chimbo la kupata mzigo huo kwa sasa, hapo baadae ushindani unakuwa mkubwa sana sokoni katika suala la manunuziNi biashara ya msimu zaidi, subiri karibu na shule kufunguliwa tembelea vijijini ukiwa na mzigo, utauza Hadi uchanganyikiwe
Nenda jamana pale mkuuNdo lengo langu mkuu ila nataka chimbo la kupata mzigo huo kwa sasa, hapo baadae ushindani unakuwa mkubwa sana sokoni katika suala la manunuzi
Nilidhani una mzigo nikufuate inbox.Wakuu, Habari za kutwa,
Natumaini ni wazima wa afya, Wagonjwa Mungu atawafanyia wepesi mtapona haraka kwa uwezo wake... Amen.
Nina mpango wa kuuza daftari ziwe ni kaunta, msomi nk. Kama kuna mzoefu katika biashara hii au anaeweza kunipa ABC kuhusu biashara hii karibuni sana vipengele hivi ni muhimu kuzingatiwa
- Bei nafuu
- Mahali
- Ubora wa bidhaa
NotedNunua mzigo kwa bei ya jumla/kiwandani na wewe kauze bei ya jumla kwa wauzaji wa rejareja
Asante mkuuFika Kariakoo Tahafif Shop Utapata Kwa Bei Nafuu
Asante sanaNilidhani una mzigo nikufuate inbox.
Kumbe msaka tonge mwenzangu. Haya kama upo Dar nenda Kariakoo maeneo ya Gerezani kuna mawakala wa bidhaa hizo wa jumla. Fanya survey ya bei kabla haujafanya maamuzi kununua