Soko la daftari ndogo na kubwa

Soko la daftari ndogo na kubwa

Chimbekeha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1,193
Reaction score
2,172
Wakuu, Habari za kutwa,

Natumaini ni wazima wa afya, Wagonjwa Mungu atawafanyia wepesi mtapona haraka kwa uwezo wake... Amen.

Nina mpango wa kuuza daftari ziwe ni kaunta, msomi nk. Kama kuna mzoefu katika biashara hii au anaeweza kunipa ABC kuhusu biashara hii karibuni sana vipengele hivi ni muhimu kuzingatiwa
  • Bei nafuu
  • Mahali
  • Ubora wa bidhaa
 
Ni biashara ya msimu zaidi, subiri karibu na shule kufunguliwa tembelea vijijini ukiwa na mzigo, utauza Hadi uchanganyikiwe
 
Ndo lengo langu mkuu ila nataka chimbo la kupata mzigo huo kwa sasa, hapo baadae ushindani unakuwa mkubwa sana sokoni katika suala la manunuzi
 
Wakuu, Habari za kutwa,

Natumaini ni wazima wa afya, Wagonjwa Mungu atawafanyia wepesi mtapona haraka kwa uwezo wake... Amen.

Nina mpango wa kuuza daftari ziwe ni kaunta, msomi nk. Kama kuna mzoefu katika biashara hii au anaeweza kunipa ABC kuhusu biashara hii karibuni sana vipengele hivi ni muhimu kuzingatiwa
  • Bei nafuu
  • Mahali
  • Ubora wa bidhaa
Nilidhani una mzigo nikufuate inbox.

Kumbe msaka tonge mwenzangu. Haya kama upo Dar nenda Kariakoo maeneo ya Gerezani kuna mawakala wa bidhaa hizo wa jumla. Fanya survey ya bei kabla haujafanya maamuzi kununua
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom