Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,172
Wakuu, Habari za kutwa,
Natumaini ni wazima wa afya, Wagonjwa Mungu atawafanyia wepesi mtapona haraka kwa uwezo wake... Amen.
Nina mpango wa kuuza daftari ziwe ni kaunta, msomi nk. Kama kuna mzoefu katika biashara hii au anaeweza kunipa ABC kuhusu biashara hii karibuni sana vipengele hivi ni muhimu kuzingatiwa

- Bei nafuu
- Mahali
- Ubora wa bidhaa