Soko la dagaa Dar

Soko la dagaa Dar

Nataka kuanza kupeleka dagaa dar . Naomba kwamwenye huerewa wa soko la dagaa was mwanza saiz wanabeigan!!!?
Inategemea na msimu na ubora na soko pia.. Nakushauri fika Dar ufanye utafiti mwenyewe na uonane na madalali waaminifu wakushauri
 
Dar wanapima kilo sio visado kama Mwanza..., by the way hata soko likiwa zuri sio kwamba umeuza, inabidi utafuta wateja wanunuzi ambao mtakuwa na long term relationship na sio wasumbufu (tafuta mtu wa karibu mpelekee mzigo) au unaweza kuuza rejareja...

Dunia kuwa kijiji siku hizi tofauti ya bei kutoka point A na B sio kubwa kama zamani
 
Nashukuru Sana nilikua sijui hilo

Ulizia pengine pia sina uhakika ila hizi habari ndio nilizosikia kwa watu kadhaa (wanaulizia samaki/dagaa wana kilo ngapi) kwahio sababu binafsi sifanyi hii biashara jaribu kuuliza

ila kama ni wa kukaanga nadhani wananunua kwenye packages tofauti (all in all tofauti ya bei sio kama zamani)
 
Back
Top Bottom