Komando kipen
Member
- Jul 13, 2021
- 54
- 49
Nataka kuanza kupeleka dagaa dar
Naomba kwamwenye huerewa wa soko la dagaa wa Mwanza wana beigani?
Naomba kwamwenye huerewa wa soko la dagaa wa Mwanza wana beigani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na msimu na ubora na soko pia.. Nakushauri fika Dar ufanye utafiti mwenyewe na uonane na madalali waaminifu wakushauriNataka kuanza kupeleka dagaa dar . Naomba kwamwenye huerewa wa soko la dagaa was mwanza saiz wanabeigan!!!?
Asante sanaInategemea na msimu na ubora na soko pia.. Nakushauri fika Dar ufanye utafiti mwenyewe na uonane na madalali waaminifu wakushauri
Dar wanapima kilo sio visado kama Mwanza..., by the way hata soko likiwa zuri sio kwamba umeuza, inabidi utafuta wateja wanunuzi ambao mtakuwa na long term relationship na sio wasumbufu (tafuta mtu wa karibu mpelekee mzigo) au unaweza kuuza rejareja...
Dunia kuwa kijiji siku hizi tofauti ya bei kutoka point A na B sio kubwa kama zamani
Ulizia pengine pia sina uhakika ila hizi habari ndio nilizosikia kwa watu kadhaa (wanaulizia samaki/dagaa wana kilo ngapi) kwahio sababu binafsi sifanyi hii biashara jaribu kuulizaNashukuru Sana nilikua sijui hilo
Asante sana Kama unataka tupige siyo kilahisi Kama hivyo weka mkwanja mezani tuunganishe tuanzebiashara ndotutapiga vzrMbagala hapa kilo f7 mkuu lete tupige hela
Nilete mbagala wap mkuuMbagala hapa kilo f7 mkuu lete tupige hela
Mbagal sehem gan natk tuanze kazMbagala hapa kilo f7 mkuu lete tupige hela
Kijichi hapa stend mkuuMbagal sehem gan natk tuanze kaz