Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Tunatia huruma sana tulioingia kwenye huu mtego
Sijui wanamatatizo gani washakuwa cya kutosha wanataka wakur hadi wapi.. hata wenzao safari com kenya wanatoa dividends mwaka huu sema duh yaan haifiki hata shilingi moja ya kenya per share

Kwa sie wenye pesa za mawazo bora tukomae na MMF na trust funds au Govt Bonds ambako tunaambiana labisa mapema faida elekezi ni % ngapi na hata ikipanda au kushuka walau unajua haiwez shuka chini ya nusu ya %. Elekezi.. ila huku kuwekeza direct kwenye stocks za makampuni kama
Voda sijui twiga kunatakiwa watu ambao washashiba pesa.. ambao yaan kuingia 100m+ kama
Faida kwao kwa mwez sio issue ambako anaweza hata akawekeza bilion au zaidi.. na hata akipata gawio haiwazii sana
 
Nchi nyingi za Afrika kupiga pesa kwa upande wa hisa ni bahat nasibu sana maana unakuta market share imeshikwa na kampuni local ambazo zina influence ya moja kwa mona na wanasiasa so unakuta ni rahsi sana wao kuchakachua policy flan ili wafaidike na haya makampuni local hawanaga mpango wa kwenda public wanagawana share na wanasiasa wamejifungia ndan

Ndo maana unakuta kampuni zingine hasa za nje ambazo zinaendeshwa au zinajaribu kuendeshwa kwa taratibu za kimataifa kutoboa soko la afrika ni ngumu
Sababu wanajikuta ni ngumu kukua .. unaweza ukawa na hisa kampuni flan hata 10 urs zisikuwe na haIuziki sababu serikali za afrika kila uchaguz ukiisha policy zinabadilika kutokana na utashi wa rais alie madarakani

Matokeo yake unakita kampuni chache sana ndio kila mwaka zinafanya vizuri na hasa ni kampuni za kibani tena chache na za vinywaji. Na unakuta humu ndan kuna wanasiasa washajazana kwenye hisa

Ndo maana ulaya ni rahs kampuni private ikaanzishwa na ndan ya 10yrs hisa Ikakua hata 10X ila sio afrika
 
Nishaachana na mbanga za sijui share bond and stuff nalima zangu na nainjoi kufukia hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…