Soko la hisa laingiza Sh40,000

Hii rekodi kama ni kweli haiwezi kutuingiza kwenye kitabu cha Guinness World Records kweli?

Hahaha.. hi Ndio Tz

Mkuu huko Us kikawaida huwa wanafikisha shilingi/dollar ngapi per day ?
 
Siku zote hesabu hazidanganyi!! yanimoja ni moja huwezi iita moja nne!!
Tukaona tumeshindwa kuchukua ushindi soka Afrika, labda tutapata ushindi kwenye turnover ndogo kabisa ya siku.

Hiyo hela hata pair ya soksi za cashmere za maana bado sijapata!
 
Hebu tuache utani jamani hizi figure ni za ukweli ?
Kama ni kweli mtu mwenye car washing business hapo mjini nje ya hiyo Stock Exchange anaweza kupiga mingo kubwa zaidi ya turnover ya Stock Exchange kwa siku.
 
Alivyo wa ajabu anaweza kufunga kitengo cha soko la hisa na kusema kinapotosha wananchi. Anakotupeleka hata mwenyewe hajui.
 

Awamu takatifu awamu ya rais mtakatifu rais John Pombe Magufuli,rais kipenzi wa wananchi...

Rais bora kabisa kutokea Tanzania!

Hahahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…