Soko la hisa laingiza Sh40,000

Soko la hisa laingiza Sh40,000

Hii rekodi kama ni kweli haiwezi kutuingiza kwenye kitabu cha Guinness World Records kweli?

Hahaha.. hi Ndio Tz

Mkuu huko Us kikawaida huwa wanafikisha shilingi/dollar ngapi per day ?
 
Siku zote hesabu hazidanganyi!! yanimoja ni moja huwezi iita moja nne!!
Tukaona tumeshindwa kuchukua ushindi soka Afrika, labda tutapata ushindi kwenye turnover ndogo kabisa ya siku.

Hiyo hela hata pair ya soksi za cashmere za maana bado sijapata!
 
Alivyo wa ajabu anaweza kufunga kitengo cha soko la hisa na kusema kinapotosha wananchi. Anakotupeleka hata mwenyewe hajui.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, soko la hisa la Dar es Salaam limeanza kwa mdororo mkubwa wiki hii. Ripoti zinaonyesha kwamba ni sh40,000 ndizo ziliripotiwa kupatikana leo kutokana na mauzo ya hisa.

Hiki ni kiwango cha chini kabisa kuripotiwa na soko la hisa miaka 21 tangu kuanzishwa kwake. Hatua hii inatokana na kukosekana kwa wawekezaji wa kigeni ambao wanachangia asilimia 80 ya thamani ya umiliki wa hisa na asilimia 80 ya mauzo na mamunuzi ya hisa.

Tutafika tu

Awamu takatifu awamu ya rais mtakatifu rais John Pombe Magufuli,rais kipenzi wa wananchi...

Rais bora kabisa kutokea Tanzania!

Hahahahahaa
 
Back
Top Bottom