Soko la kanga

Soko la kanga

Naomba kuuliza ntapata wapi soko la uhakika la kanga wa kienyeji?
Ukisemq soko un maana gani?

Soko kisasaa sio kulitafuta lilipo, soko ni kutafuta wateja. Hata hapa jamii forum soko lipo, weka picha na bei

Epusha kufanya biashara kijanja eti bei maelewano

Tafuta brand name yako, ili kokote nikiona jin like najua Emma mola huyu.

Uko mkoa gan?
 
Dodoma Boss
 
Mtoa uzi umefanya makosa mengi sana yakiufundi …… kwanza unaonekana hujiamini na unacho fanya , hujajipanga, ……. Siku nyingine ukitoa uzi kama ivi jitahidi weka mambo ya msingi mfano LOCATION YAKO , maelezo yajitosheleze usiseme just unatafta masoko, kwa aina ya post yako unge ambatanisha na picha inge faa sana ni hayo tu mengine wadau wataongezea
 
Back
Top Bottom