Unakodi wapi?Hiyo usafiri sasa bei ya kukodi kontena?
Unakodi wapi?
Unaonekana hujawahi kufanya export!!
Kontena utapewa bure na wakala wa meli kwa aidha ulibebe ukapakie mzigo kwako,au ukapakilie bandarini
Kuna gharama tu za bandari
Fanya utafiti upya utapigwa mzee halafu useme Magufuli mbaya
Umeulizwa tani ngapi unaleta siasa kuwa specific.Mzigo wa kutosha kulingana na mahitaji.
Nilidhani unaye tayariIt's true mkuu personally sijawahi kuimport au export via Bandarini
Kuna issues hapo kati kwamba hizo Karanga nani atanunua huko Pakistan/South Africa au mnunuzi huyu muuzaji wanainteract vipi in order to seal the deal
Mkuu karanga unauzaje kwa kilo
Weka maelezo yaliyonyooka ushafeli kabla hata ya kuuza kilo moja.Waungwana nisaidie kujikwamua kiuchumi nitafuta soko la Karanga popote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mzigo upo wa kutosha no yangu 0674067474 karibuni