Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Hasara hizo, usiombeee.
Kariakoo imeshikana sanaa viashiria vya majanga ya moto hapo ni vyakuepuka kabisa, Unapotaja Uchumi wa nchi kariakoo inakaa pale juu, usipokua makini na eneo kama lile sijui ni wapi utatia umakini...
 
Na lile eneo kama moto ni mkubwa kuudhibiti kazi sana
 
Back
Top Bottom