Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Kuna watu wangekua victimized. Wangewekwa ndani kinyume na sheria hata wasiohusika! Utawala wa sheria ilikua ni msamiati mgumu sana kipindi kile
 
Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu Majaliwa alipoamrisha ripoti ya moto sokoni Kariakoo uliotokea July 10th iwe tayari baada ya siku saba.
 
Vingi ALISEMA na kutoa MDA. Utakua Hilo soko. Juzi kakataa kupokea nyumba,na kaahiza .Hakuna matokeo tusubiei tuone
 
Ipo sehemu gani tukajisomee kwa maslahi ya umma?
IMG_20241224_152132.jpg
 
Back
Top Bottom