Kama hauna elimu juu ya mfumo wa uzimaji moto wa hayo magari mtakuwa kila siku mnawalaumu , eti wanakuja bila maji!!kisa wakiza kidogo tu maji yamekwisha!!hivi unajua ile pressure ya maji inayotoka pale?lile tanker la lita 50, 000 dakika 10 hazifika kama wakifungua valve mbili!!!la muhimu ni serikali kuweka mfumo wa maji pembezoni mwa mitaa special kwa magari ya fire tu, kwenda kuchota maji karibu!!kama huko nchi za mbele wanavyofanya.sasa mkiona dk 3, maji yamekwisha unaona linaenda kuchukua maji unasema halikuwa na maji au maji yalikuwa madogo!!