Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Juzi kuna mtu aliandikwa uzi kua soko linaungua uku jamii forums ukafutwa leo hii imekua kweli
Hawa wanaopitia mada siyo vijana intelligence, maana niliwahi kutembea na slogan ya corona ya kuchukua tahadhari wakawa wanafuta but now ndiyo wanaitumia.

Although nagundua each day kuna mtu flani akianzisha uzi haufutwi!.
 
Unajua jengo limejengwa mwaka gani hilo? [emoji26]
Yap. Lakini haimaaninshi kuwa wangeshindwa kuweka fire horse reel. Tatizo public buildings hata zinazojengwa Leo wanapenda kupuuzia emergency preparedness and response strategies!
 
damage ni kiasi gani ?

Pole kwa wote wenye mali, jiji la Dar pamoja na Tanzania kwa ujumla...
 
Kweli mkuu nilisubiri anijibu, nione jibu lake!

Hawa huwa wanadhani lita 7000 zinaweza kuzima moto hata masaa matano.

6 bars pressure ina uwezo wa kudrain hizo lita 7000 within no time..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Bila fire hydrants eneo la tukio fire wanakuwa watazamaji tu. Inasikitisha soko kuu hamna fire hydrant.

1625990920464.png
1625991230179.png
 
Ni sawa maana unaruhusu vipi mtu akaokoe mali isiyo yake?
Kwahy umati wote ule hapakuwa na mtu mwenye mali kule ndani.? Na mtu utaokoaje mali ya mwenzako wakati mali yako inaungua.?
 
Mi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa

Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
unaweza kumkumbuka id yake?
 
Ule moto wangeweza kuudhibiti fire na sokoni ni karibu sana ...na uzuri ilikuwa jpili hakuna foleni ya watu kiasi hicho
Mi najiuliza ingekuwa ni ule wa mkasa wa Paris kanisa kushika moto mkubwa wangeweza kudhibiti chochote? I wish watafute documentary yake waangalie zimamoto walivyoefficient

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi inakuaje mtu fulani ndo anakuja kuthibitisha tukio flani.? Ina maana walioopo hapo hawaoni hilo tukio.?
 
kariakoo fire wamemwagwa kila kona, wanatoza watu ada za mwaka, hela za mtungi na service, hakuna excuse aisee washindwe kuzima moto jengo moja, lile jengo wafanyabiashara wake wote wana mitaji midogo, wapo zaidi ya 100 mule, nina uhakika hawana bima, sijui hata wana hali gani sasa hivi.
Kuhusu mitaji midogo fanya tafiti zaidi mkuu... Kuna mtu namjua ana duka la pembejeo na madawa ya mbalimbali ya mifugo na kilimo total asset ni almost 150mn+ na majuzi tu katoka kukopa benk ili kuongeza mtaji kiufupi kuna units ndani mule wana mali za thaman kubwa tu na wamepata hasara kubwa sana.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom