Yaani inasikitisha sana sana!! Kwa tukio la jana serikali ndio ya kulaumiwa 100% ,wameshindwa kabisa kuwekeza kwenye kulinda raia na mali zao kwenye majanga ,imagine kutoka fire hadi k/koo kwa gari ni dakika 3 tu ushafika ,pia makao makuu ya fire hawana Hydrants za kujaza maji,halafu Fire nzima wana gari 6 tu!! INASIKITISHA SANA!! Diallo hakukosea ndio maana walimunua midege kwa matriolioni ya shiling ambayo yanaleta hasara wakashindwa kununua magari mengi ya fire kukabiliana na majanga ,ona wafanyabiashara wamepoteza mali.