Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Akili zimeanza kukupotea baada ya kutoka Statesman na kurudi kuwa Stroke
Chadema badala ya kudai magari ya Kuzima Moto

Wanadai haki ya kufanya mikutano ya kisiasa.

Mimi naita mitukano ya kisiasa maana hata hivyo huwa hakuna Cha maana kinachozungumzwa huko zaidi sana ya matusi Kwa mamlaka.
 
Hivi fire wanapoitwa mahali kuzima Moto halafu wanakuja bila ya maji au maji kidogo huwa wanategemea kumiza Moto kwa style gani??
Gari la fire haliwezi kubeba maji yote ya kuzima huo moto, jengo lilipaswa kua na fire alarm detector, fire horse reel na fire hydrant ili maji yakiisha kwenye gari la fire wanatape tuu,
Lawama nyingi kwa fire si sahihi
 
Makandarasi na Wenye jengo hawakwepi lawama. Watumiaji hawakwepi lawama. Fire hawakwepi lawama!
Serikali badala ya kuwaza lisanamu waweke nguvu kuimarisha utendaji kazi wa fire na uokozi!
 
Hawana maji. Ningekuwa Rais wa nchi ningeanza kumtumbua Mkuu wa jeshi la zimamoto na viongozi wote wakubwa katika vituo vya zimamoto

Kwanini magari ya uokozi yakose maji??

Wao wanafanya nini? Au ndio kufanya kazi kwa mazoea

Hii nchi hii...HOVYO KWELI.
Siku moja utakua tuu mkuu usijali, ila ukimshamtumbua huyo mkuu wa jeshi la zimamoto usisahau kuwakumbusha hao wenye majengo kipindi cha ujenzi kuweka fire alarm system, fire horse reel na fire hydrant ili maji yakiisha kwenye gari la fire watape hapo,
Wasidahau kujenga tank la maji ili iwe rahisi ,
 
Makandarasi na Wenye jengo hawakwepi lawama. Watumiaji hawakwepi lawama. Fire hawakwepi lawama!
Serikali badala ya kuwaza lisanamu waweke nguvu kuimarisha utendaji kazi wa fire na uokozi!
Ni kweli mkuu, unajua kabla ya kupata kibali cha ujenzi kwa hayo majengo makubwa fire lazima wapitie michoro lakini unaweza shangaa hakuna miundombinu ya maji
 
Mwendazake alimtumbua mkuu wa fire .kwa kubulesha miundombinu ya Fire ,MWENDAZAKE AKASEMA NI DELI
 
Makandarasi na Wenye jengo hawakwepi lawama. Watumiaji hawakwepi lawama. Fire hawakwepi lawama!
Serikali badala ya kuwaza lisanamu waweke nguvu kuimarisha utendaji kazi wa fire na uokozi!
Unajua jengo limejengwa mwaka gani hilo? [emoji26]
 
Kulikuwaga na sehemu kuliwekwa mabomba maalum ambayo fire walikuwa wanaunganisha
Mipira yao wapate maji wakati wa dharula
Hiyo miundo mboni yote tushaiuaaa

Ova
Unaonekana upo karibu na tukio hizi habari zinazosambaa kuwa FaizaFoxy ameungua mgongo ni kweli?
 
Siku moja utakua tuu mkuu usijali, ila ukimshamtumbua huyo mkuu wa jeshi la zimamoto usisahau kuwakumbusha hao wenye majengo kipindi cha ujenzi kuweka fire alarm system, fire horse reel na fire hydrant ili maji yakiisha kwenye gari la fire watape hapo,
Wasidahau kujenga tank la maji ili iwe rahisi ,
Unajua hujaelewa jambo. Kama magari yangeenda na maji wakajitahidi kuzima moto hapo kuna mantiki

Lakini Magari yatoke ofisini yaende kwenye tukio bila maji, huo ni UZEMBE na UTAHIRA

Rais awaachishe kazi hawa Viongozi wa Fire. Wanalipwa mishahara ya bure.

Huu uzembe ni wa kujirudia mara kwa mara.
 
Watu mliopo eneo la tukio tunaomba feed back.

Je mkuu wa mkoa RC Makonda kafika?
 
Watu mliopo eneo la tukio tunaomba feed back.

Je mkuu wa mkoa RC Makonda kafika?
Rc Makonda tena boss? [emoji3]

Anyway kuna vizuizi vya polisi mitaa yote kuelekea soko kuu. Hamna raia kusogelea eneo la tukio.

Moto bado unawaka ndani, ingawa umepungua.

Kuna cases za looting kwenye baadhi ya maduka ya jirani na hapa mtaa wa Tandamti , watu wameibiwa mali na mizigo yao.

The once famous Kariakoo market imepotea, itachukua muda sana kurudi kama ilivyokua.

Sent from my SOV34 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom