fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Mzee mwenye miaka 74 upo mkoa gan, had leo unajua RC ni Makonda?Watu mliopo eneo la tukio tunaomba feed back.
Je mkuu wa mkoa RC Makonda kafika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mwenye miaka 74 upo mkoa gan, had leo unajua RC ni Makonda?Watu mliopo eneo la tukio tunaomba feed back.
Je mkuu wa mkoa RC Makonda kafika?
Siku zote moto ukiwaka fire huwa wanashindwa wanafika tu wanasema hawana maji, hakuna cha mwenda zake wala nini, fuatilia moto ambao fire walizima wakafanikiwa bila wananchi kujitolea adi kuchota maji wenyewe fire adi wanataka kupigwa na wananchiMzee Baba hayupo wamebaki wazembe tu najua angekuwepo wangeamshana hata kama wamelala
Sie waafrica na hiyo miundombinu wapi na wapi? Si tunaaribu kila kituKwanini uwashinde[emoji3480][emoji845]
Jengo lile linamiundombinu dhabiti ya kuzimia moto sehemu zote
Kweli mkuu nilisubiri anijibu, nione jibu lake!Tatizo la watu ni kutokufahamu jinsi magari ya zima moto yanavyofanya kazi, ile pressure ya maji inayotoka pale lile tank ni dakika tano tu maji yamekwisha, sasa mtu akiona vile hususani labda amekutana nalo njiani, linaenda kwenye tukio, eee mala baada ya dk 5, analiona rinarudi tena, ndio hapo husema gari limekwenda bila maji!!!sasa gari liende eneo la tukio bila maji ili iweje?!!!miundo mbinu yenyewe bado sana , ni mungu tu ndio anayetulinda.
Mkuu moto mpaka asubuh hii unawaka kule juu kuna nafaka changamoto iko hapoMlifanikiwa kuzima moto saa ngapi jana.
Tunaomba picha za asubuhi hii.
Inawezekana wakawa ni wazembe kwenye namna zingine lakini siyo kuja bila maji!Miaka yote fire bongo yanakujaga bila maji.
Sijawai kusikia uzembe huu mahali popote.
Duh..haujashika vile vibanda vya njeMkuu moto mpaka asubuh hii unawaka kule juu kuna nafaka changamoto iko hapo
Ni muda sasa wa kuanza kufikiria kupunguza misongamano ya wamachinga barabarani na kwenye mikusanyiko. Ajali kama hizi ni hatari sana kama njia hazipitiki kwa urahisi
Hukutaka kuamini kama gari limeanguka au hukuamini kitu gani?Kujua class ya moto ni muhimu, inaonesha hawa wanategemea sana maji nakati maji yanazima aina moja tu ya moto,
Dry Powder ndio Universal, inazima almost classes zote za fire..
Nakumbuka mwaka juzi kule Simiyu, eti gari la zimamoto limeenda site kufika site out of nowhere likaanguka maji yakamwagika, ikabidi watu waanze kuchota maji kwa ndoo, gari limetulia pembeni, Mwaka mmoja baadae maeneo ya Coco Beach tukio kama hilo hiloView attachment 1849244View attachment 1849242
Sikutaka kuamini ila ndio futuhi hii.
Frame zake ni ndogo ndogo ambazo haziruhusu mtu kuweka biashara kubwa, nje ni vibanda vya machinga tu. Labda uhesabu ile Bank, na wale ni kama tu wanatoa service.Aliyekudanganya ni nani⁉️
DuuuuuhKuna jamaa anasema wakati moto unaanza kuwaka, walinzi walikataa kuruhusu watu kuingia ndani kuokoa mali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi hii wazima moto hawapo , wapo wazima maandamano tu
Nyumba yetu iliungua awamu iliopita mpaka imeteketea kabisa ndio zimamoto wanakuja, toka napata Fahamu Fire hawajawahi kuwa efficient nchi hii.Mzee Baba hayupo wamebaki wazembe tu najua angekuwepo wangeamshana hata kama wamelala
Privatize fire services au ingieni kwenye ppp lakini iwe competitive process na internationalHivi hii ishu ya fire kuja bila maji itaisha lini
Acha ujinga wako.. ulikuwepo? We unadhani yale maji yanatumia dk ngapi kwisha kwa presha ile?Unajua hujaelewa jambo. Kama magari yangeenda na maji wakajitahidi kuzima moto hapo kuna mantiki
Lakini Magari yatoke ofisini yaende kwenye tukio bila maji, huo ni UZEMBE na UTAHIRA
Rais awaachishe kazi hawa Viongozi wa Fire. Wanalipwa mishahara ya bure.
Huu uzembe ni wa kujirudia mara kwa mara.
Utakuta siku moto unawaka na maji yamekatika[emoji28]Ukienda baadhi ya nchi nje ya africa.
Njiani na baadhi ya maeneo hasa mijini utakutana na mabomba kwa ajiri ya fire kila baada ya umbali kadhaa.
Yote hayo ili kuepuka mambo kama haya.
Nashauri serikali ifanye mpango kama huu huku Tanzania.