Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Mzee Baba hayupo wamebaki wazembe tu najua angekuwepo wangeamshana hata kama wamelala
Siku zote moto ukiwaka fire huwa wanashindwa wanafika tu wanasema hawana maji, hakuna cha mwenda zake wala nini, fuatilia moto ambao fire walizima wakafanikiwa bila wananchi kujitolea adi kuchota maji wenyewe fire adi wanataka kupigwa na wananchi
 
Ajari za moto kama huu zitaishia kuchukuliwa kama ajali zingine tu.... tujitathimini
 
Kwanini uwashinde[emoji3480][emoji845]

Jengo lile linamiundombinu dhabiti ya kuzimia moto sehemu zote
Sie waafrica na hiyo miundombinu wapi na wapi? Si tunaaribu kila kitu
 
Tatizo la watu ni kutokufahamu jinsi magari ya zima moto yanavyofanya kazi, ile pressure ya maji inayotoka pale lile tank ni dakika tano tu maji yamekwisha, sasa mtu akiona vile hususani labda amekutana nalo njiani, linaenda kwenye tukio, eee mala baada ya dk 5, analiona rinarudi tena, ndio hapo husema gari limekwenda bila maji!!!sasa gari liende eneo la tukio bila maji ili iweje?!!!miundo mbinu yenyewe bado sana , ni mungu tu ndio anayetulinda.
Kweli mkuu nilisubiri anijibu, nione jibu lake!

Hawa huwa wanadhani lita 7000 zinaweza kuzima moto hata masaa matano.

6 bars pressure ina uwezo wa kudrain hizo lita 7000 within no time..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Kujua class ya moto ni muhimu, inaonesha hawa wanategemea sana maji nakati maji yanazima aina moja tu ya moto,
Dry Powder ndio Universal, inazima almost classes zote za fire..

Nakumbuka mwaka juzi kule Simiyu, eti gari la zimamoto limeenda site kufika site out of nowhere likaanguka maji yakamwagika, ikabidi watu waanze kuchota maji kwa ndoo, gari limetulia pembeni, Mwaka mmoja baadae maeneo ya Coco Beach tukio kama hilo hiloView attachment 1849244View attachment 1849242
Sikutaka kuamini ila ndio futuhi hii.
Hukutaka kuamini kama gari limeanguka au hukuamini kitu gani?

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Aliyekudanganya ni nani⁉️
Frame zake ni ndogo ndogo ambazo haziruhusu mtu kuweka biashara kubwa, nje ni vibanda vya machinga tu. Labda uhesabu ile Bank, na wale ni kama tu wanatoa service.
 
Unajua hujaelewa jambo. Kama magari yangeenda na maji wakajitahidi kuzima moto hapo kuna mantiki

Lakini Magari yatoke ofisini yaende kwenye tukio bila maji, huo ni UZEMBE na UTAHIRA

Rais awaachishe kazi hawa Viongozi wa Fire. Wanalipwa mishahara ya bure.

Huu uzembe ni wa kujirudia mara kwa mara.
Acha ujinga wako.. ulikuwepo? We unadhani yale maji yanatumia dk ngapi kwisha kwa presha ile?
 
Ukienda baadhi ya nchi nje ya africa.
Njiani na baadhi ya maeneo hasa mijini utakutana na mabomba kwa ajiri ya fire kila baada ya umbali kadhaa.

Yote hayo ili kuepuka mambo kama haya.
Nashauri serikali ifanye mpango kama huu huku Tanzania.
Utakuta siku moto unawaka na maji yamekatika[emoji28]
 
Back
Top Bottom